TaxiBubu Drivers (Dereva) Android

TaxiBubu Drivers (Dereva)

By: TaxiBubu App
This app helps drivers to earn some income as they commute to work and back home
xHeader
Modify request and response headers. No ads, no malware.

Overview

Features & Capabilities

KISWAHILI:
Kujisaili ni lazima dereva awe na namba ya leseni ya udereva pamoja na namba ya kitambulisho cha taifa (NIDA).
Programu hii imetengenezwa kusaidia kupunguza idadi ya watu kwenye usafiri wa umma ambapo tumeona mabasi ya umma yakiwa yamejazwa abiria mpaka mlangoni wakati watu wenye magari magari binafsi wanasafiri njia hiyohiyo wakiwa na magari matupu yasiyo na abiria! ABIRIA anapaswa kufika KITUO CHA BASI au STENDI ya mabasi iliyopo karibu naye, kisha kuandika mahala anapoelekea kwenye programu halafu atamchangua DEREVA anayepita njia hiyo hiyo au anayeelekea sehemu karibu na aendako. Dereva atapokea ombi la abiria kwenye simu na ATAMPAKIA abiria kwenye kituo cha basi alipo. Vilevile dereva ATAMSAFIRISHA abiria mpaka kwenye kituo cha basi au ENEO SALAMA la umma lililopo karibu na mahala abiria aendapo kisha kupokea nauli. Ni matumaini yetu kuwa kupitia programu hii, tutaweza kutengeneza jukwaa ambalo madereva na abiria watafaidika bila mmoja kumuumiza mwenzie au bila kumdhuru mtu mwingine. Safari Njema

ENGLISH:
To register a driver must have a driver's license number as well as a national identification number (NIDA).
This app is designed to help reduce the number of people on public transport where we have seen public buses loaded with passengers to the doorsteps while people with private cars travel the same way with empty seats! PASSENGERS should arrive at the nearest BUS STATION or BUS STAND, then write down the destination of the program and then select the driver who is passing the same route or heading to the place that’s nearest to their destination. The driver will receive the passenger's request on the phone and will PICK UP the passenger at the bus station where he/she is located. The driver will also transport passengers to the bus station or SAFE PUBLIC AREA located near the passenger’s destination and then receive the fare. We hope that through this program, we will be able to create a platform where drivers and passengers will benefit without harming each other or anyone else. Nice trip!
[Minimum supported app version: 3.0.29]

User Growth & Download Statistics

App
By:
TaxiBubu
Downloads:
211
Version:
0 Last updated: 2026-07-03
Creation date:
2022-07-12
Publisher country:
TZ TZ
Email:
ta*****@gmail.com
URLs:
Website ,Privacy policy
Full description:
See detailed description
Source:
Google Play Store
Data ingested on:
2026-09-02
Compare stats and ranking:

Contact the developer

Chrome-Stats does not own this Android app. Please use these information below to contact the Android app developer.
Developed by:
TaxiBubu
Google Play Store
https://play.google.com/store/apps/details?id=net.taxibubu.drivers
Email:
ta*****@gmail.com
Website:
http://www.taxibubu.net

Best TaxiBubu Drivers (Dereva) Alternatives

Here are some Android apps that are similar to TaxiBubu Drivers (Dereva):