Features & Capabilities

Twenzao ni app ya carpooling inayokutokeza njia rahisi na salama ya kusafiri kwa kutumia gari binafsi. Inakuwezesha kuungana na madereva wengine au abiria wanaosafiri mwelekeo wako, huku ukiepuka usumbufu wa madalali na kutumia huduma za usafiri wa bei ya chini kuliko basi.

Twenzao ina hakikisha taarifa za wasafiri wote zinapatikana na hizi ni salama, hivyo safari zako zinakuwa na uhakika zaidi. Faida za matumizi ya Twenzao ni pamoja na uwezo wa kuanza safari muda wowote, kuweza kusafiri kwenda sehemu ngumu ambazo mabasi hayafiki, na kufurahia uhuru wa kupumzika au kusimamisha gari kutokana na makubaliano kati yako na dereva. Hakuna makato au ada za ziada – bei unayolipa ni ile inayokwenda moja kwa moja kwa dereva.

Twenzao ni suluhisho bora kwa wale wanaotaka usafiri wa gari binafsi wenye bei nafuu, salama, na unayoweza kutegemea katika maeneo mbalimbali.

User Growth & Download Statistics

By:
Amo Inc.
Downloads:
16,349
Version:
Tw-121 Last updated: 2023-11-07
Version code:
121
Creation date:
2020-11-25
Publisher country:
DE DE
Permissions:
  • android.permission.ACCESS_COARSE_LOCATION Very high risk
  • android.permission.ACCESS_FINE_LOCATION Very high risk
  • android.permission.CALL_PHONE Very high risk
  • android.permission.CAMERA Very high risk
  • android.permission.ACCESS_WIFI_STATE Low risk
  • android.permission.INTERNET Low risk
  • android.permission.WAKE_LOCK Low risk
  • com.google.android.c2dm.permission.RECEIVE Low risk
  • com.google.android.finsky.permission.BIND_GET_INSTALL_REFERRER_SERVICE Low risk
  • android.permission.ACCESS_NETWORK_STATE Safe
Size:
6.01MB
Email:
tw*****@gmail.com
URLs:
Website ,Privacy policy
Full description:
See detailed description
Source:
Google Play Store
Data ingested on:
2026-03-23
Compare stats and ranking:

Contact the developer

Chrome-Stats does not own this Android app. Please use these information below to contact the Android app developer.
Developed by:
Amo Inc.
Google Play Store
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.twenzao
Email:
tw*****@gmail.com
Website:
https://www.twenzao.com

User Reviews

Best App Ever and user friendly
by At*****, 2022-05-28

Nice Idea felicitation 👍👍
by Ha*****, 2022-05-27
View all user reviews ›

Best Twenzao Alternatives

Here are some Android apps that are similar to Twenzao: