Features & Capabilities

Ndinga App

Karibu Ndinga App,

1.Hii app inakuwezesha kusimamia gari yako Kitaalam na kidifitali kwa wakati mmoja , Simamia Mafuta , Services , Matumizi ya feddha, Mapato ya Gari zako ,

2.Pia unaweza kutrack gari yako kujua wapi ilipo wakati wowote kutumia GPS tutakayo kufungia kwenye gari yako

3.Pia Sehem ya Soko inakuweza kuuza/Kununua na kukodisha Gari kutoka kwa watu mbalimbali

4.Kwa watoa Huduma za Garage pia tunawapa fursa ya kujitangaza na Kusimamia Garage yako Kidigitali na kupitia Ndinga App unaweza kuwatumia wateja wako Ndinga Service Report kila baada ya Service- Ishi kidigitali

5.Manage Trip zako kidigitali zaidi

6.Module yetu ya Reminders itakukumbusha issue mbalimbali kama vile services, na vingine Vingi sana

7.Pia tuna kuwezesha kutoa access ya chombo chako kwa watu wako wa karibu na Mafundi wako kwenye Ndinga App

UNYAMA NI MWINGI SANA UKIWA NA NDINGA APP

User Growth & Download Statistics

App
By:
Mashauri Salumbo
Version:
1.0.3 Last updated: 2026-04-03
Version code:
884094998
Creation date:
2026-03-30
Compatible devices:
Size:
130.82MB
URLs:
Website ,Privacy policy
Full description:
See detailed description
Source:
Apple Apps Store
Data ingested on:
2026-06-03
Compare stats and ranking:

Contact the developer

Chrome-Stats does not own this Apple app. Please use these information below to contact the Apple app developer.
Developed by:
Mashauri Salumbo
Apple Apps Store
https://apps.apple.com/tz/app/ndinga-app/id6758467495
Website:
https://ndinga.co.tz/

Best Ndinga App Alternatives

Here are some Apple apps that are similar to Ndinga App: