Features & Capabilities

Uza, nunua, na agiza gari kijanja.

Kwa miaka mingi, kununua au kuuza gari kumekuwa na changamoto. Bei zisizo wazi, ada zisizotarajiwa, na maamuzi makubwa bila taarifa kamili. Tumekutengenezea njia rahisi zaidi.

Kama unataka kununua au kuagiza gari, NJIIMNET inakusaidia ku-:

  • Jua bei halisi ya gari kuendana na mwenendo wa soko
  • Nunua kwa bei ya haki
  • Okoa muda & nguvu
  • Pokea ofa nyingi kutoka kwa wauzaji
  • Linganisha bei kirahisi
  • Kwepa kulipa zaidi

Kama muuzaji, NJIIMNET inakusaidia ku-:

  • Pata wateja wenye uhitaji
  • Uza bila kufanya matangazo
  • Fikia mteja sahihi katika muda muafaka
  • Jua bajeti ya wateja kabla hata hujaongea nao
  • Pata wateja bure
  • Chagua ulipe kamisheni au la
  • Lipia kamisheni utakapouza gari tu
  • Uza haraka zaidi
  • Pata taarifa za muhimu za wateja kabla ya kulipia chochote

NJIIMNET unganisha moja kwa moja na wanunuzi na wauzaji wa magari, huku ikihakikisha uwazi na kurahisisha mchakato mzima.

User Growth & Download Statistics

App
By:
Olorok Enterprises Limited
Rating:
5.00
(4)
Version:
5.6.3 Last updated: 2026-06-27
Version code:
887533921
Creation date:
2025-01-10
Compatible devices:
Size:
53.79MB
URLs:
Website ,Privacy policy
Full description:
See detailed description
Source:
Apple Apps Store
Data ingested on:
2026-06-30
Compare stats and ranking:

Contact the developer

Chrome-Stats does not own this Apple app. Please use these information below to contact the Apple app developer.
Developed by:
Olorok Enterprises Limited
Apple Apps Store
https://apps.apple.com/tz/app/njiimnet/id6740287568
Website:
https://njiim.net

Best NJIIMNET Alternatives

Here are some Apple apps that are similar to NJIIMNET: