Overview

Rating:
2.00
(1)
Version:
1.3
Last updated: 2026-04-28
Ranking
#947,461 108
Overall

Features & Capabilities

Mama Kijacho ni app rahisi na salama kwa kina mama wajawazito na walezi. Inakusaidia kufuatilia ujauzito wako, kuelewa mabadiliko ya mwili, na kujifunza namna ya kujitunza wewe na mtoto wako.

Vipengele Vikuu:

  1. Ufuatiliaji wa ujauzito – angalia ukuaji wa mtoto wiki kwa wiki
  2. Ushauri wa kila wiki kuhusu afya ya mama na mtoto
  3. Kick Tracker – rekodi na fuatilia miguno ya mtoto tumboni
  4. Weight Tracker – rekodi na angalia mabadiliko ya uzito wako kwa muda
  5. Video na makala za elimu kutoka kwa vyanzo vinavyoaminika
  6. Vidokezo vya lishe, dalili na maandalizi ya kujifungua

Mama Kijacho imeundwa kukupa taarifa sahihi na kwa lugha rahisi.

Kumbuka: App hii haitoi ushauri wa kitabibu wa moja kwa moja. Daima wasiliana na daktari au mtaalamu wa afya unapohitaji msaada wa haraka.

Terms of Use: https://www.apple.com/legal/internet-services/itunes/dev/stdeula/

User Growth & Download Statistics

App
By:
Mama na Mwana Care
Rating:
2.00
(1)
Version:
1.3 Last updated: 2026-04-28
Version code:
884988964
Creation date:
2026-01-13
Compatible devices:
Size:
45.63MB
URLs:
Privacy policy
Full description:
See detailed description
Source:
Apple Apps Store
Data ingested on:
2026-08-11
Compare stats and ranking:

Contact the developer

Chrome-Stats does not own this Apple app. Please use these information below to contact the Apple app developer.
Developed by:
Mama na Mwana Care
Apple Apps Store
https://apps.apple.com/tz/app/mama-kijacho/id6756777799

Best Mama Kijacho Alternatives

Here are some Apple apps that are similar to Mama Kijacho: