Overview

Rating:
4.00
(3)
Version:
6.7
Last updated: 2023-04-18
Ranking
#696,070 ▼ 14,059
Overall

Features & Capabilities

Shule Direct Kids ni app iliyobuniwa kwa ajili ya matumizi ya watoto wa shule za msingi nchini Tanzania. App inamsaidia mtoto wa darasa la kwanza hadi la saba, kujifunza na kuongeza umahiri wa kusoma, kuandika na kuhesabu kwa kutumia michezo iliyotengenezwa kutokana na mtaala na muongozo wa elimu ya msingi nchini Tanzania.

Mzazi tumia App hii kupata taarifa ya maendeleo ya mtoto wako pia kumsaidia kuyamudu zaidi masomo yake au yale maeneo yanayompa changamoto. App hii pia inakusaidia mzazi kufahamu mambo yote anayotakiwa kujifunza mtoto wako pindi awapo shuleni.

FAIDA ZA SHULE DIRECT KIDS - Kupenda kujifunza - Kujifunza kwa Uhuru, Muda Wowote, Mahali Popote - Nyenzo zinazofuata mtaala wa Taifa wa Elimu ya Msingi darasa la 1 - 7 - Kujifunza matumizi sahihi na salama ya teknolojia na mifumo yake - Kumfanya mtoto kuwa mbunifu zaidi - Kuweka kumbukumbu na taarifa zote za mtoto, kumsaidia mzazi kupata ripoti kwa haraka na kufuatilia kwa karibu - Kuongeza ufaulu

Pakua Shule Direct Kids App sasa BURE!

KUHUSU SHULE DIRECT Shule Direct ni shirika lisilo la kiserikali nchini Tanzania lililojikita kwenye matumizi ya teknolojia na mifumo yake katika kuongeza wigo na fursa za upatikanaji wa nyenzo bora za kujifunzia kwa wanafunzi na walimu wa shule za msingi na sekondari ili kuongeza ufaulu na matokeo chanya ya elimu. Tunafanya kazi na walimu bora wanaokidhi vigezo vya ufundishaji, kutengeneza nyenzo za kujifunzia katika mifumo ya notes, chemsha bongo, mafumbo na michezo mbalimbali kwa kufuata mitaala na miongozo ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa elimu ya msingi na sekondari. Nyenzo zetu zinapatikana kwa njia mbalimbali zikiwemo application za simu, mtandao wa www.shuledirect.co.tz mfumo wa offline Learning Management System (LMS) pamoja na njia ya ujumbe mfupi wa maandishi (SMS).

WASILIANA NASI Kama una swali, maoni, ushauri, au unahitaji msaada au taaria zaidi, wasiliana nasi kupitia info@shuledirect.org Tushirikiane kwa mafanikio ya mtoto wa Tanzania.

User Growth & Download Statistics

App
By:
Shule Direct
Rating:
4.00
(3)
Version:
6.7 Last updated: 2023-04-18
Version code:
856469748
Creation date:
2021-03-19
Compatible devices:
Size:
50.51MB
URLs:
Website ,Privacy policy
Full description:
See detailed description
Source:
Apple Apps Store
Data ingested on:
2026-07-19
Compare stats and ranking:

Contact the developer

Chrome-Stats does not own this Apple app. Please use these information below to contact the Apple app developer.
Developed by:
Shule Direct
Apple Apps Store
https://apps.apple.com/tz/app/shule-direct-kids/id1559028727
Website:
https://www.shuledirect.co.tz

Best Shule Direct Kids Alternatives

Here are some Apple apps that are similar to Shule Direct Kids: