Features & Capabilities

Tenzi za Rohoni ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 161 kutoka katika kitabu cha Tenzi Za Rohoni kwa lugha ya Kiswahili. Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote.

Sifa za program ni kama zifuatazo:-

• Inahusisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa Kiswahili, kwa kiingereza au maneno yaliyo ndani ya wimbo.

• Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata kwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa pale unapoona inafaa.

• Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti (thanks to hymnserve.com for the accompaniments).

• Inakuwezesha kucheza ala hata ukiwa haupo kwenye programu

• Inakuwezesha kuona wimbo namba unaocheza ala pindi uwapo kwenye nyimbo nyingine.

• Inakuwezesha kufahamu wimbo wa mwisho kutazamwa kwa kuuangazia rangi kwenye orodha.

• Inakuwezesha kubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingira ya Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza macho.

Programu hii imeandaliwa na kutengenezwa na Justin Diva Bulenga kwa utukufu wa Mungu.

User Growth & Download Statistics

App
By:
Justin Bulenga
Rating:
5.00
(2)
Version:
4.2 Last updated: 2025-10-07
Version code:
878715756
Creation date:
2022-02-18
Compatible devices:
Size:
17.22MB
Price:
1.99
URLs:
Privacy policy
Full description:
See detailed description
Source:
Apple Apps Store
Data ingested on:
2026-06-10
Compare stats and ranking:

Contact the developer

Chrome-Stats does not own this Apple app. Please use these information below to contact the Apple app developer.
Developed by:
Justin Bulenga
Apple Apps Store
https://apps.apple.com/us/app/tenzi-za-rohoni/id1610192795

User Reviews

I was looking for Tenzi za Rohoni app and this has been a blessing. It also has instrumental (piano) for most songs which is amazing. I started using this for our worship sessions since it is still a young ministry and we don’t have anyone who could play an instrument. Great work! I hope it will continue to develop and all songs with instrumental
by Nj*****, 2022-05-19
View all user reviews ›

Best Tenzi Za Rohoni Alternatives

Here are some Apple apps that are similar to Tenzi Za Rohoni: