Features & Capabilities

Nyimbo za Kristo ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 220 za kitabu kidogo na 405 za kitabu kikubwa za kanisa la Waadventista Wasabato kwa lugha ya Kiswahili. Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote, Nyimbo za kuburudisha, kutia moyo na kukufariji wakati wa huzuni.

Sifa za program ni kama zifuatazo:-

• Inahusisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa Kiswahili, kwa kiingereza au maneno yaliyo ndani ya wimbo.

• Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata kwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa pale unapoona inafaa.

• Inakuwezesha kuona nyimbo kwa makundi.

• Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti (thanks to hymnserve.com for the accompaniments).

• Inakuwezesha kucheza ala ya wimbo hata usipokuwa kwenye programu na kuongeza au kupunguza kasi ya uchezaji.

• Inakuwezesha kutafuta wimbo kwa haraka kwa kutumia namba.

• Inakuwezesha kuona wimbo wa mwisho kutazamwa katika orodha kwa kuuangazia rangi.

• Inakuwezesha kuona wimbo unaocheza ala ukiwa umefungua wimbo tofauti na huo.

• Inakuwezesha kubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingira ya Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza macho. Programu hii imeandaliwa na kutengenezwa na Justin Diva Bulenga.

User Growth & Download Statistics

App
By:
Justin Bulenga
Rating:
3.00
(2)
Version:
4.4 Last updated: 2025-10-08
Version code:
878716201
Creation date:
2022-02-14
Compatible devices:
Size:
47.13MB
Price:
5900
URLs:
Privacy policy
Full description:
See detailed description
Source:
Apple Apps Store
Data ingested on:
2026-06-06
Compare stats and ranking:

Contact the developer

Chrome-Stats does not own this Apple app. Please use these information below to contact the Apple app developer.
Developed by:
Justin Bulenga
Apple Apps Store
https://apps.apple.com/tz/app/nyimbo-za-kristo/id1609603190

Best Nyimbo Za Kristo Alternatives

Here are some Apple apps that are similar to Nyimbo Za Kristo: