soko Android

soko

Fanya manunuzi ya bidhaa na huduma mbalimbali kwa kulipia kidogo kidogo

Overview

Removed
Downloads
-
Data as of 2026-08-04
Version:
10.1.0
Last updated: 2026-07-27

Features & Capabilities

Soko inakuwezesha kufanya malipo ya bidhaa na huduma kwa kiwango kidogo cha pesa kwa kasi yako mwenyewe moja kwa moja kutoka kwenye simu yako ya mkononi ili iwe rahisi kufikia malengo na mipango yako.

BIDHAA HALISI NA HUDUMA ZENYE UBORA WA JUU.

Tunzaa inahakikisha ubora wa huduma kwa wateja kwa kukagua watoa huduma wetu na pia tunazingatia bidhaa halisi na huduma zenye ubora wa juu.

FUATILIA MALIPO YAKO

Soko inakupa uwezo wa kufuatilia kila pesa unayoweka kwa ajili ya lengo maalum, kama vile kununua vifaa vya nyumbani, vifaa vya umeme & mtindo na mavazi au safari.

JIPIMIE

Kuwa huru kujipangia muda wa kukamilisha malipo na Soko.

TAFUTA

Urahisi wa kutafuta bidhaa yoyote kwa haraka.

UJUMBE

Pokea ujumbe wa kukumbusha kutunza pesa mara kwa mara.

MALENGO

Timiza malengo yako kwa kufanya malipo kwa usalama zaidi.

MATUMIZI

Epuka matumizi mabaya kwa kuzuia kutoa pesa hadi lengo litimie.

ZAWADI

Wanunulie zawadi wapendwa wako kupitia soko.

User Growth & Download Statistics

App
By:
Tunzaa Fintech Inc.
Downloads:
-
Version:
10.1.0 Last updated: 2026-07-27
Version code:
8
Creation date:
2026-07-27
Publisher country:
TZ TZ
Permissions:
  • android.permission.ACCESS_COARSE_LOCATION Very high risk
  • android.permission.ACCESS_FINE_LOCATION Very high risk
  • android.permission.INTERNET Low risk
  • com.google.android.providers.gsf.permission.READ_GSERVICES Low risk
  • android.permission.ACCESS_NETWORK_STATE Safe
  • com.android.vending.CHECK_LICENSE Safe
  • com.tunzaa.app.DYNAMIC_RECEIVER_NOT_EXPORTED_PERMISSION
Size:
28.56MB
Email:
ma*****@tunzaa.com
URLs:
Website ,Privacy policy
Full description:
See detailed description
Source:
Google Play Store
Data ingested on:
2026-08-04
Compare stats and ranking:

Contact the developer

Chrome-Stats does not own this Android app. Please use these information below to contact the Android app developer.
Developed by:
Tunzaa Fintech Inc.
Google Play Store
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.tunzaa.app
Email:
ma*****@tunzaa.com
Website:
https://tunzaa.com

Best soko Alternatives

Here are some Android apps that are similar to soko: