특징 및 기능

Biashara bila daftari huisha bila habari.

Selpoa ni bure, tunatamani uachane na kuendesha biashara yako kiholela, au kwa kutumia daftari ndio maana tumeamua kuwaletea app ya Selpoa, bure bila malipo yoyote. Lengo letu ni kukuondoa kwenye shida za kuchanganya rekodi zako kwenye daftari, kuchanganya mahesabu, kusahau madeni au kokosea dau la deni, na matatizo mengineyo kama hayo ambayo yanakuondoa kwenye dhumuni kuu la kuchakata akili, kufikiria namna ya kuongeza wateja.


Selpoa inakusaidia kufanya yafuatayo:-

1. Kurekodi mauzo, matumizi na madeni.
2. Kufatilia mwenendo wa bidhaa zako stoo, kufatilia mzigo unaoingia na mzigo unaotoka. (Stock taking)
3. Kukupa ripoti za mauzo, matumizi na madeni ndani ya siku, wiki, mwezi, mwaka au ndani ya idadi ya siku utakazo pendelea mwenyewe.
4. Kutengeneza risiti (SIO ZA TRA), na kutuma bili au deni kwa wateja wako.
5. Kurekodi mawasiliano ya wateja wako.
6. Kupokea malipo kwenye simu yako

Kuna mengineyo mengi yanaendelea kufanyiwa matengenezo kama:-
1. Kukusaidia kuendesha duka zaidi ya moja
2. Kukusaidia kuendesha wauzaji zaidi ya mmoja

Karibu, share na wafanya biashara wenzako ili tukue pamoja.

사용자 증가 및 다운로드 통계

App
제작자:
DUKA SPACE
다운로드:
38
버전:
14.0 마지막 업데이트: 2024-04-07
생성 날짜:
2024-03-18
이메일:
sh*****@dukaspace.com
URL:
개인정보 보호정책
전체 설명:
자세한 설명 보기
소스:
Google Play 스토어
데이터 수집일:
2024-12-19
통계 및 순위 비교:

개발자에게 문의

Chrome-Stats는 이 Android 앱을 소유하지 않습니다. 아래 정보를 사용하여 Android 앱 개발자에게 문의하세요.
에 의해 개발:
DUKA SPACE
Google Play 스토어
https://play.google.com/store/apps/details?id=org.selpay.com
메일 주소:
sh*****@dukaspace.com

최고의 Selpoa 대안

다음은 Selpoa과(와) 유사한 Android app입니다: