Msahafu wa Kiswahili السواحيلي Apple

Msahafu wa Kiswahili السواحيلي

Education

Features & Capabilities

Unaweza kupakua Programu na kuvinjari Qur'ani Tukufu pamoja na tafsiri (Hapa jina la lugha) kwa njia rahisi na nyepesi zaidi na kwa ubunifu mzuri wa kuvutia, uliobuniwa na wachoraji mahiri wa mapambo ya Qur'ani katika ulimwengu kwa muonekano wa kuvutia.

Vipengele vya Apilikesheni

  • Wepesi wa kutumia ukurasa na imerahisishwa kwa kiwango cha hali ya juu.

  • Utafutaji wa haraka zaidi, utafutaji katika aya za Qur'ani na katika majina ya sura na Juzuu.

  • Kusoma Qur'ani, furahia kisomo cha Qur'ani Tukufu kutoka katika nakala iliyohakikiwa, iliyobuniwa kwa ubunifu mzuri na wa kuvutia.

  • Tafsiri ya maana ya maneno ya Qur'ani Tukufu, ifahamu Qur'ani Tukufu kwa lugha yako kupitia tafsiri ya maana yake katika lugha ya Kiswahili

  • Lugha mbali mbali, vinjari programu kwa lugha yako au kwa lugha unayopenda kuitumia katika Msahafu.

  • Visomo, Kusikiliza kisomo cha Qur'ani Tukufu kwa sauti za wasomaji mashuhuri na wenye visomo vitamu.

  • Kicheza sauti cha hali ya juu: Opereta inakupa uwezo wa hali ya juu, mfano kurudia rudia kwa ajili ya kukusaidia kuhifadhi Qur'ani Tukufu.

  • Vituo: Kuongeza alama za marejeo na kuziongoza, kwa ajili ya wepesi wa kurejea katika sehemu za kusimama katika aya maalum.

  • Vipendwa: Kuongeza idadi yoyote ya aya katika vipendwa, kwa ajili ya wepesi wa kuzirejea baadaye.

  • Kuongeza maoni: Kuongeza maoni na mazingatio wakati wa kusoma Qur'ani, au kusoma tafsiri ya maana yake.

  • Kushiriki: Kushiriki aya au maana yake kwa marafiki zako kupitia Apilikesheni na mitandao ya kijamii.

  • Ubunifu wa kipekee: Imekamilika kuchagua rangi na mapambo ya kuvutia macho, na ubunifu wa kisasa ulionukuliwa kutoka katika tamaduni za wazungumzaji wa lugha ya Kiswahili

Designed and Developed by: https://smartech.online

User Growth & Download Statistics

App
By:
MP3Quran
Version:
1.0.1 Last updated: 2023-04-08
Version code:
856209980
Creation date:
2023-04-04
Compatible devices:
Size:
183.32MB
URLs:
Website ,Privacy policy
Full description:
See detailed description
Source:
Apple Apps Store
Data ingested on:
2026-06-07
Compare stats and ranking:

Contact the developer

Chrome-Stats does not own this Apple app. Please use these information below to contact the Apple app developer.
Developed by:
MP3Quran
Apple Apps Store
https://apps.apple.com/us/app/msahafu-wa-kiswahili-%D8%A7%D9%84%D8%B3%D9%88%D8%A7%D8%AD%D9%8A%D9%84%D9%8A/id6443842362
Website:
https://smartech.online

Best Msahafu wa Kiswahili السواحيلي Alternatives

Here are some Apple apps that are similar to Msahafu wa Kiswahili السواحيلي: