Overview

Version:
3.0.33
Last updated: 2026-07-04
Ranking
#1,748,208 ▼ 30,112
Overall

Features & Capabilities

TaxiBubu ni programu kabambe imuunganishayo abiria na dereva anaepita njia moja, hivyo kufanya nauli nafuu sana. TaxiBubu: Kwa usafiri Salama, Nafuu, Upesi & Bila bugudha

KISWAHILI: Kujisaili ni lazima dereva awe na namba ya leseni ya udereva pamoja, kadi ya gari pamoja na namba ya kitambulisho cha taifa (NIDA). Programu hii imetengenezwa kusaidia kupunguza idadi ya watu kwenye usafiri wa umma ambapo tumeona mabasi ya umma yakiwa yamejazwa abiria mpaka mlangoni wakati watu wenye magari magari binafsi wanasafiri njia hiyohiyo wakiwa na magari matupu yasiyo na abiria! ABIRIA anapaswa kufika KITUO CHA BASI au STENDI ya mabasi iliyopo karibu na yeye, atafungua programu halafu atamchangua DEREVA anayepita njia hiyo hiyo au anayeelekea sehemu karibu na aendako kulingana na muda alioweka dereva. Dereva atapokea ombi la abiria kwenye simu na ATAMPAKIA abiria kwenye kituo cha basi alipo. Vilevile dereva ATAMSAFIRISHA abiria mpaka kwenye kituo cha basi au ENEO SALAMA la umma lililopo karibu na mahala abiria aendapo kisha kupokea nauli. Ni matumaini yetu kuwa kupitia programu hii, tutaweza kutengeneza jukwaa ambalo madereva na abiria watafaidika bila mmoja kumuumiza mwenzie au bila kumdhuru mtu mwingine. Safari Njema!

ENGLISH: To register a driver must have a driver's license number as well as a national identification number (NIDA). This app is designed to help reduce the number of people on public transport where we have seen public buses loaded with passengers to the doorsteps while people with private cars travel the same way with empty seats! PASSENGERS should arrive at the nearest BUS STATION or BUS STAND, then write down the destination of the program and then select the driver who is passing the same route or heading to the place that’s nearest to their destination. The driver will receive the passenger's request on the phone and will PICK UP the passenger at the bus station where he/she is located. The driver will also transport passengers to the bus station or SAFE PUBLIC AREA located near the passenger’s destination and then receive the fare. We hope that through this program, we will be able to create a platform where drivers and passengers will benefit without harming each other or anyone else. Nice trip! [:mav: 3.0.29]

User Growth & Download Statistics

App
By:
TaxiBubu Company
Version:
3.0.33 Last updated: 2026-07-04
Version code:
887812874
Creation date:
2022-08-30
Compatible devices:
Size:
118.21MB
URLs:
Website ,Privacy policy
Full description:
See detailed description
Source:
Apple Apps Store
Data ingested on:
2026-07-23
Compare stats and ranking:

Contact the developer

Chrome-Stats does not own this Apple app. Please use these information below to contact the Apple app developer.
Developed by:
TaxiBubu Company
Apple Apps Store
https://apps.apple.com/tz/app/taxibubu-drivers-dereva/id1641391587
Website:
http://www.taxibubu.com

Best TaxiBubu Drivers (Dereva) Alternatives

Here are some Apple apps that are similar to TaxiBubu Drivers (Dereva):