Majitele Android

Majitele

Ukiishiwa maji au yakikatika agiza maji na Majitele.

Overview

Removed
Downloads
1
Data as of 2025-01-05
Version:
1.0
Last updated: 2024-03-13

Features & Capabilities

Majitele ni Mtandao wa kusambaza maji sehemu zenye shida ya maji na kuunganisha sehemu zenye maji na sehemu zenye shida ya maji, inawaunganisha watu wenye maji na watu wasio na maji. Maji yanapokosekana sehemu moja yanapatikana sehemu nyingine. Wakati mwingine yanapatikana sehemu za mbali, Majitele itakuletea maji yaliyopo mbali. Majitele ni Maji yaliyopo kiganjani kwako, itakuletea maji kutoka vyanzo na sehemu mbalimbali. Agiza maji wakati wowote, wakati wa shida ya maji, yakikatika nyumbani na mtaani kwako.
Majitele inasambaza maji aina yote;
• Maji ya kawaida,
• Maji ya kunywa,
• Maji yasiyo kuwa na chumvi,
• Maji ya ujenzi na
• Maji kwa ajili ya shughuli mbalimbali.
Kama hutumii maji ya chumvi agiza Majitele utapata maji safi na salama.
Majitele inasambaza maji safi kwenye mashule, migahawa, mahoteli, kwenye taasisi viwanda na biashara mbalimbali.
Agiza maji na Majitele kuondoa hofu ya kukosa maji
Aksante sana.

User Growth & Download Statistics

App
By:
Adilisha - Mwanza
Downloads:
1
Version:
1.0 Last updated: 2024-03-13
Version code:
1
Creation date:
2024-03-13
Permissions:
  • android.permission.INTERNET Low risk
  • android.permission.ACCESS_NETWORK_STATE Safe
  • com.majipack.majitele.DYNAMIC_RECEIVER_NOT_EXPORTED_PERMISSION
Size:
9.64MB
Email:
li*****@gmail.com
URLs:
Website ,Privacy policy
Full description:
See detailed description
Source:
Google Play Store
Data ingested on:
2025-01-05
Compare stats and ranking:

Contact the developer

Chrome-Stats does not own this Android app. Please use these information below to contact the Android app developer.
Developed by:
Adilisha - Mwanza
Google Play Store
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.majipack.majitele
Email:
li*****@gmail.com
Website:
http://majitele.rf.gd

User Reviews

Itasaidia watanzania kupata maji kwa urahisi na kwa haraka.
by JA*****, 2024-03-15

Mtasaidia kutatua tatizo la maji, kama huku kwetu maji yanakatika ovyo ovyo.
by Eu*****, 2024-03-14
View all user reviews ›

Best Majitele Alternatives

Here are some Android apps that are similar to Majitele: