Matukio Android

Matukio

Furahia Habari, Michezo na Burudani mbalimbali

Features & Capabilities

Matukio ni app yenye huduma za kipekee zinazokuletea taarifa mbalimbali za Tanzania, Kenya, na dunia. Inajumuisha sehemu nne kuu: Habari, Michezo, Burudani, na tamthilia zinazotafsiriwa Kiswahili.

Katika sehemu ya Habari, unaweza kusoma habari za kiuchumi, kijamii na kibiashara zinazojitokeza ndani na nje ya Afrika Mashariki. Sehemu ya Michezo inalenga wapenzi wa soka na inatoa taarifa kuhusu timu maarufu kama Yanga, Simba, Gor Mahia, na AFC Leopards pamoja na ligi mbalimbali, zikiwemo ligi za kimataifa. Matukio pia hutoa burudani kwa wapenzi wa muziki na tamthilia, ambapo unaweza kutazama au kupakua tamthilia mtandaoni na pia kufurahia video na audio za nyimbo mpya. App hii ni suluhisho kamili kwa wale wanaotafuta taarifa za haraka na burudani angavu ndani ya eneo la Afrika Mashariki na dunia kwa ujumla.

User Growth & Download Statistics

By:
marick inc
Downloads:
72,727
Version:
1.9 Last updated: 2025-04-08
Version code:
10
Creation date:
2022-06-05
Permissions:
  • android.permission.ACCESS_COARSE_LOCATION Very high risk
  • com.google.android.gms.permission.AD_ID Moderate risk
  • android.permission.ACCESS_ADSERVICES_AD_ID Low risk
  • android.permission.ACCESS_ADSERVICES_ATTRIBUTION Low risk
  • android.permission.ACCESS_ADSERVICES_TOPICS Low risk
  • android.permission.ACCESS_WIFI_STATE Low risk
  • android.permission.FOREGROUND_SERVICE Low risk
  • android.permission.FOREGROUND_SERVICE_MEDIA_PLAYBACK Low risk
  • android.permission.INTERNET Low risk
  • android.permission.POST_NOTIFICATIONS Low risk
  • See more
Size:
18.60MB
Email:
ma*****@gmail.com
URLs:
Website ,Privacy policy
Full description:
See detailed description
Source:
Google Play Store
Data ingested on:
2025-05-23
Compare stats and ranking:

Contact the developer

Chrome-Stats does not own this Android app. Please use these information below to contact the Android app developer.
Developed by:
marick inc
Google Play Store
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.MatukioTz
Email:
ma*****@gmail.com
Website:
https://tamustori.blogspot.com/

User Reviews

Mura hii app ni nzuri sana tena sana,inastahili nyota 5 na kuendelea, ila inakwaza sana kwa matangazo ya biashara, ni mengi na yanalazimisha usubiri, uyasome na uyasikilize la sivyo mtapambana nayo hadi inakuwa karahaa,kwanini msiyafanye hiari?msilazimishe mtu kuyasoma,tafadhali Ndugu!
by Fr*****, 2025-01-30

So quick n' clear
by DI*****, 2024-08-25
View all user reviews ›

Best Matukio Alternatives

Here are some Android apps that are similar to Matukio: